KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KIRUMBA WANUNUA KANISA

Kanisa la Waadventista Kirumba, jijini Mwanza, limenunua jengo lenye thamani ya shilingi Milioni 17   ili  kwa ajili ya kundi lake la Ghana

Mkuu wa Mawasiliano wa Kanisa la Kirumba, Samuel Nkonya, amesema  jengo hilo lililoko maeneo ya Green View, jijini Mwanza, litavunjwa ili kanisa jipya lipate kujengwa baadaye.

Awali, jengo hilo(pichani) lilikuwa nyumba ya kuuzia vileo(bar) na sasa litatakaswa na kuwekwa wakfu kwa ajili ya kuwa Nyumba ya MUNGU aliye hai.

Adventist Review

Inter-American Church Creates New Committee to Coordinate Disaster Relief

Move is prompted by last string of natural disasters in the region.

Harvest Festival Welcomes New Believers in Euro-Asia

Traditional celebration becomes an occasion for thanksgiving and decisions for Christ.

script type="text/javascript"> var _gaq = _gaq || []; _gaq.push(['_setAccount', 'UA-33516313-1']); _gaq.push(['_trackPageview']); (function() { var ga = document.createElement('script'); ga.type = 'text/javascript'; ga.async = true; ga.src = ('https:' == document.location.protocol ? 'https://ssl' : 'http://www') + '.google-analytics.com/ga.js'; var s = document.getElementsByTagName('script')[0]; s.parentNode.insertBefore(ga, s); })();