MAHUBIRI YA IBANDA JUU YAMALIZIKA: 

Kanisa la waadventista wasabato Kirumba limehitimisha mahubiri yaliyokuwa yanafanyika katika viwanja vya Ibanda juu, katika mahubiri hao jumla ya roho 102 zimeongolewa na kubatizwa.

Akizungumza katika kuhitimisha mahubiri hayo, Mchungaji wa mtaa wa Kirumba Faustin Karuma amesema” Ili kukamilisha utume wa Yesu (Mathayo 28:19.. inatupasa sisi kama Kama watumishi wa Bwana kuwalea wale wote waliojitoa na kubatizwa”

Katika kuakikisha kuwa washiriki hawa wapya wanakuwa kiroho, washiriki wa kanisa la Kirumba wamenunua kiwanja cha kanisa na kuchanga jumla ya Shilingi za kitanzania milioni kumi na moja kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kanisa la Ibanda juu.

View

script type="text/javascript"> var _gaq = _gaq || []; _gaq.push(['_setAccount', 'UA-33516313-1']); _gaq.push(['_trackPageview']); (function() { var ga = document.createElement('script'); ga.type = 'text/javascript'; ga.async = true; ga.src = ('https:' == document.location.protocol ? 'https://ssl' : 'http://www') + '.google-analytics.com/ga.js'; var s = document.getElementsByTagName('script')[0]; s.parentNode.insertBefore(ga, s); })();