UJENZI WA KANISA LA MLIMANI WAANZA:

 

BAADA YA MAHURI yaliyoongoa roho zaidi ya 100 Mlimani, Ibanda Juu, Kanisa la Waadventista Kirumba, Mwanza, limeanza Mradi wa Ujenzi wa Kanisa kwa ajili ya waumini wa eneo hilo.

 

Kulingana na Mkuu wa Mawasiliano wa Kanisa la Kirumba, Samuel Nkonya, mradi huo wa Ujenzi wa Kanisa hilo utagharimu jumla ya shilingi milioni 10.

 

Mahubiri hayo yaliendeshwa na Mchungaji Nfubhusa,kutoka Kigoma ambaye alishirikiana na Kwaya ya Uinjilisti,Chato kutoka Mkoa mpya wa Geita.

 

 

script type="text/javascript"> var _gaq = _gaq || []; _gaq.push(['_setAccount', 'UA-33516313-1']); _gaq.push(['_trackPageview']); (function() { var ga = document.createElement('script'); ga.type = 'text/javascript'; ga.async = true; ga.src = ('https:' == document.location.protocol ? 'https://ssl' : 'http://www') + '.google-analytics.com/ga.js'; var s = document.getElementsByTagName('script')[0]; s.parentNode.insertBefore(ga, s); })();