SABATO YA 13 ILIFANA SANA KIRUMBA,MWANZA

Ilikua siku ya kupendeza sana, Machi 31 mwaka huu 2012. Program za Shule ya Sabato zilikuwa za kusisimua sana,tangu asubuhi hadi jioni.

Katika siku hii,  Idara ya Shule ya Sabato Kirumba ilialika wageni mahsusi,kikundi kiitwacho God’s Messengers kutoka Nyegezi,Mwanza. Na ilikuwa kama ifuatavyo:

God’s Messengers wakiimba moja ya nyimbo zao tamu katika Shule ya Sabato.

Mkuu wa Shule ya Sabato(washiriki),Ridhisha Sagati akimsifu Mungu kwa wimbo

 

Kwaya ya akina Mama nayo aikuwa nyuma katika program hii walimsifu Mungu kwa nyimbo zao nzuri.

 

 

View more about Sabbath School

 

script type="text/javascript"> var _gaq = _gaq || []; _gaq.push(['_setAccount', 'UA-33516313-1']); _gaq.push(['_trackPageview']); (function() { var ga = document.createElement('script'); ga.type = 'text/javascript'; ga.async = true; ga.src = ('https:' == document.location.protocol ? 'https://ssl' : 'http://www') + '.google-analytics.com/ga.js'; var s = document.getElementsByTagName('script')[0]; s.parentNode.insertBefore(ga, s); })();